Natafuta jimama la kunilea

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......
 
Mie mwanaume naweza kukulea.
Ukuta utakuwa rafiki yako.
OTIS.
 
Mie mwanaume naweza kukulea.
Ukuta utakuwa rafiki yako.
OTIS.

kwanini unasema nimepotea,nisaidie ndugu yako kama huko mtaani kwenu yupo mtu mwenye cfa hz ntel 2
 
Nyie ndio ambao mwisho mnakuwa mashoga. Badala uwaze kufanya kazi unawaza kulelewa.
 
kijanaa elimu unayoo...nguvu unazo,why mamaaakubwaa ulelewee,ni kupendaa mteremko au,msomiii wa KCMC ngojaa nikwambie kunaa jimamaa mojaa mitaa ya ilala....[jina kwapani}anapendaa sanaa serengeti na vijana wanaopenda kulelewa.ilaa kilaa wa kiduu anawchezeaa 0 mwisho wasiku anawaunganishiaa walee vijanaa ma bashaa matajiriii.vijana wengi maromeo ndo wanapoishiaaa huko[shogaaa]ushauri wangu kaziaa elimu kama unapenda mteremko
 
afadhali umemwonya mkuu.
Mana va bure vinaua.
Hakuna msaada usokuwa na malengo.
 
aaaaaah!shtuka!...jf ina mengi kwelikweli...we mwenzetu badala ya kutafuta kazi unatafuta JIMAMA la kukulea loh?...haya bwana,kama hizi ndo swagga basi nazikubali,bt kama ni criac as u said...no comment..
 
Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......
Tabia ya ushoga inaanzaga hv hv.
 
...................duh! kwaiyo ww ubaki ndani wadeki na kupika na kuosha viombo na kufanya kila aina ya uasfi wa jimama lenyewe liko job likirudi walitengea maji ya kuoga na kila kitu kisa ww wataka mtelemko loh!
good luck
 
Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......

Unasoma Kozi gani Chalii?
Inasikitisha kuona kuwa elimu uliyoipata hadi mwaka huu wa mwisho ambapo ndo unamaliza haijakukomboa!!
 
Unasoma Kozi gani Chalii?
Inasikitisha kuona kuwa elimu uliyoipata hadi mwaka huu wa mwisho ambapo ndo unamaliza haijakukomboa!!

Ningekuwa lecturer wake ningemdaka nikamkerisha mwaka ili apate akili ya utu uzima kwanza.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom