Natafuta ile aya inayozungumzia zina ndani ya bible

Status
Not open for further replies.

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
How strong imekatzwa zina Ndani ya Bible ?kama imekatazwa ,ni watu wa aina gani unaweza kuwaita ni wanafanya zina kutokana na maelezo ya Bilble ?jee kuna hukumu yoyote amabyo imeongelewa watapewa hao wafanya zina? (kusudio la maswali yangu nataka kuelimika na sio vyenginevyo kwa hiyo naomba majibu yatakayonisaidia mie na wengine kama mie ambao hawana elimu ya kuelewa nini Bible imeeleza kuhusiana na zina )
 
1Tim. 1:10, Efe. 5:3, Gal:5:19, 1Thes. 4:3, Kol.3:5, Matendo 15:29, 2Kor.12:21, 1Kor. 6:13, Yuda 1:7, 1Kor.10:8.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom