Wadau,
Dada zangu flani hivi wanatafuta Hostel maeneo ya City Centre, zaidi zaidi upanga mpaka tarehe 15-November.
Wako wanne na wako tayari kutoa laki each.
Hostel ziwe upanga, posta au Kariakoo.
15- November watamliza shughuli zao huku mjini na kurudi makwao.
Mwenye msaada, tuwasaidie please