Natafuta Hawara

Sasa si ungem-pm mumeo mkawa mnaflirt humu? Itawaongezea hamasa sana. Unaflirt nae afu unamuambia kamalizie kwa mkeo ukiniwaza, wewe unakuwa hi na yeye pia maisha yanakuwa kama holloween!

Kudadadeki KINGA'sti wee!
 
Last edited by a moderator:
Sasa si ungem-pm mumeo mkawa mnaflirt humu? Itawaongezea hamasa sana. Unaflirt nae afu unamuambia kamalizie kwa mkeo ukiniwaza, wewe unakuwa hi na yeye pia maisha yanakuwa kama holloween!

King'asti inakuaje uko more advance kwa kuyajua mastyle ya kimafya ?
 
Ayaaaaaaaa..Loya usianze kuniharibia sasa kwani wewe hutaki nikupumzishe kwa mkeo Madame B ..??Hebu niache kwa raha zangu si unaona kapotea jukwaani...???? watu tuko PM sasa hivi.....

Mtakatifu Pusy, kumbe siku zote hizi ulikua hujapata mwenza?
Asa hiyo mijinafaka unakua unaichujia wapi ?
Changamka sasa! Upumzike na mgalala !
 
Last edited by a moderator:
Mtakatifu Pusy, kumbe siku zote hizi ulikua hujapata mwenza?
Asa hiyo mijinafaka unakua unaichujia wapi ?
Changamka sasa! Upumzike na mgalala !

Mkuu wacha niwapumzishe kaka,si unakumbuka kuwa hata wewe ulinikasirikiaga pale nilipoonyesha interesiti kwa beibe nasty..sasa ni wakati wenu wewe na ruttashobolwa kupumua ila nawaomba tu msiniharibie na hapa...
 
Last edited by a moderator:
Masihara mengine si mazuri. Tulifanya masihara hivihivi na cacico tukajikuta tuko kwenye sita kwa sita. Hivi sasa analea mimba yangu.
 
Last edited by a moderator:
Masihara wapi mkuu?
Watu tupo serious na business hapa!
Masihara mengine si mazuri. Tulifanya masihara hivihivi na cacico tukajikuta tuko kwenye sita kwa sita. Hivi sasa analea mimba yangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom