Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

umeona mbali mnooooooooooo nimefurai ulivomjibu
Hivi Aminata, una maana hata wewe hujatulia b'se uko Jf? Hayo ni mawazo mgando. Jf ni kama mahali pengine wazuri na maboya wapo. Wangapi wako huko makanisani na ni makahaba wa kutupwa?
 
nimetamani hio miliion nne yako walahi....ningekupata ningemalizia kila kihamba changu moshi,ningekuchuna mpaka senti ya mwisho lol
 
Hi!..hop umzma kiganda,nmepata message yako inbox sasa mm kiukwel nimgen wa haya mambo ya jamiiforums nmejarbu kukujb lakn nashndwa naambiwa siwez send sms mpaka nwe nmepost cjui post tano,na cpend kupost k2 chochote hvo u rl serious u can check me thru email yangu ( dadamm23@gmail.com )....nsamehe bure cjui ku2mia jf nahuo ukwel wangu..
 
Awe mchaMungu, umri usizidi miaka 27, awe tayari kupima VVU, mweupe au maji ya kunde, mrefu wasitani, asiwe na watoto na hajawahi kuzaa au kuolewa, mtanzania, mzuri wa umbile, mcheshi, wafanyakazi wa benki au wahasibu watapewa kipaumbele. Kipato changu kwa mwezi ni 4m. Umri wangu 29yrs. Nawasilisha.

Nenda kwa Rwakatare au Lusekelo au kwa mwingira, kakobe. Huku mtaani uchakachuzi mwingi.
Vinginevyo umuumbe wako mwenyewe.
 
tehetehete.............hihihihihhiiiiiiiiiiiiii mambo yameiva
 
Awe mchaMungu, umri usizidi miaka 27, awe tayari kupima VVU, mweupe au maji ya kunde, mrefu wasitani, asiwe na watoto na hajawahi kuzaa au kuolewa, mtanzania, mzuri wa umbile, mcheshi, wafanyakazi wa benki au wahasibu watapewa kipaumbele. Kipato changu kwa mwezi ni 4m. Umri wangu 29yrs. Nawasilisha.

Nenda kwa Rwakatare au Lusekelo au kwa mwingira, kakobe. Huku mtaani uchakachuzi mwingi.
Vinginevyo umuumbe wako mwenyewe.
 
Kaka kwa mtindo huu hapa lazima utapata 'Tangopori'.
Upendo wa kweli ni kumpenda mtu vile alivyo na si kwa vile alivyo nayo.
Take care!
 
Lipi jema,kuliko kumwaga mchele penye kuku wegi kwann ucpige magoti na kumuomba ur Lord akusaidie? Vp ukimpata KIBAKA then baadae akusumbue hadi uone hamna haja ya kuoa tena,huoni utakuwa umejinyima haki yako na kupingana na maandiko matakatifu.....!
 
Hapo shwar kabisaa mkubwa...! Kama vp amuumbe wakwake mwenyewe kama mgomba na auweke ndani mtaani asigombaniwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom