Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

Du mkuu hicho kipato chako kinawadatisha watoto wa kike sidhani kama utapata wa ukweli hapa ila cha kukushauri tembelea mikoani vijijini kuna mabinti wazuri sana kwa kuoa hawa wa mijini wengi magumashi
Asante mkuu kwa ushauri wako. Tatizo la vijijini wengi walikimbia umande! Sidhani kama watakuwa na vigezo vyote. Ila nitalifanyia kazi mkuu.
 
Yani we package ya 4m ndo umeona lamaana!? Mbona hujasema sifa zako nyingine kama ulivooredhesha ya hyo mwanamke!? Ki..ma wengine bna!!
 
Yani we package ya 4m ndo umeona lamaana!? Mbona hujasema sifa zako nyingine kama ulivooredhesha ya hyo mwanamke!? Ki..ma wengine bna!!
Nina wasiwasi na uwepo wako humu! JF ni mahali pa watu wastaarabu walioenda shule. Sifa mojawapo ya intellectuals ni kujadili kwa hoja na si kwa lugha chafu kama hizi. Hata hivyo kama huna la kuchangia unaweza kukaa kimya.
 
sidhani kama suala la kutaja mshahara ndio muhimu coz mapenzi sio pesa kuna watu wanashindia dagaa but wanapenda balaa. chamsingi omba Mungu akusaidie upate mtakaeishi kwa amani hata kama hana kipato kikubwa. halafu wahasibu na hao wa benki wanakutana na watu wako vizuri mil.4 yako cha mtoto tu.
 
Zakiah, sina maana ya kujikweza kuhusu kipato changu la asha! Ni kipato kidogo sana na ndiyo maana ninafanya kazi maana kipato kikitosha huwezi kufanya kazi tena. Hata ingekuwa 1m ningeweka wazi. Ni jambo la kawaida kabisa kumwambia mtarajiwa wako kipato chako ili ajue maisha mtakayoishi hapo baadae.
 
ok but hujampata bado ilibidi umpate ndio umwambie kipato chako. utamaduni huo bongo hatuna wakujieleza sana mi nakueleza tu hata ukimpata huyo mamaa usiwe mtu wa kujieleza sana tabia iishie hapa my bro utakimbiwa na mashemejio. mambo yako chumbani na mkeo sawa? yale masuala ya kujadiliwa au kuchangiwa na wote ndio uchangie sawa? watu wanasema tabia ni kama ngozi but jitahid utachange,samahani kwahilo ila kuwa mpole kwenye kujielezea utaokota boya humu. GOD bless u n all da best.
 
Let me be frank with you pal. You are too "macho" that's why. No wonder you are still single. Huwa hatutaji mshahara tunaotengeneza. You win a gal's heart with your charm, the money part comes later ndipo mapenzi yanaponoga. N'how good luck with your search. Ukikosa huku nenda FB na e-harmony.com.
 
Awe mchaMungu, umri usizidi miaka 27, awe tayari kupima VVU, mweupe au maji ya kunde, mrefu wasitani, asiwe na watoto na hajawahi kuzaa au kuolewa, mtanzania, mzuri wa umbile, mcheshi, wafanyakazi wa benki au wahasibu watapewa kipaumbele. Kipato changu kwa mwezi ni 4m. Umri wangu 29yrs. Nawasilisha.

Tuambie na tabia zako, je unangumi kali kiasi gani? Una matasu mazito kiasi gani, 4m kwa mwezi lazima wewe una tusichana twingi sana, je uko tayari kutuacha tusichana tote na kuambata na mkeo?
Aghhhhh napoteza tu muda wangu, wewe ni muongo, wadada wanavyojua kujiweka palipo na neema, usingekuja hapa kutafuta mchumba, wangekutafuta wewe, na wangekuwa na sifa nyingi nzuri zaidi ya hizo. Tena nyingi za kukuzugia tu ili uwaoe. Yaani kila siku ungekuwa unaambiwa twende kwenye mkutano wa Mwakasege.
 
good lucky in your search...., ila I suggest utafute tu by exploring, forinstance si unataka wa benki?! nenda kwenye mabenki for any service utawaona unaowataka.
 
ok but hujampata bado ilibidi umpate ndio umwambie kipato chako. utamaduni huo bongo hatuna wakujieleza sana mi nakueleza tu hata ukimpata huyo mamaa usiwe mtu wa kujieleza sana tabia iishie hapa my bro utakimbiwa na mashemejio. mambo yako chumbani na mkeo sawa? yale masuala ya kujadiliwa au kuchangiwa na wote ndio uchangie sawa? watu wanasema tabia ni kama ngozi but jitahid utachange,samahani kwahilo ila kuwa mpole kwenye kujielezea utaokota boya humu. GOD bless u n all da best.
Nimekupata.
 
Mwee! Mapenzi ya kitoto bhana....eti 4m ndo pato...kawadanganye watoto wa sunday school, graduate mwenye akili timamu hawezi kubuy ths..,xory dude!
 
Mimi sifa zote ninazo. Nafanya kazi Stanbic, single, 24yrs, 159cm, mweupe. Kama utaweza timiza haya tunaweza onana. Je uko tayari kufunga ndoa kanisani?, kwenda kwa wazazi wangu?, vp tabia yako kwa ujumla drinker or smoker? Anyway nijibu then we can make appointment.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom