Natafuta girl friend mjamzito

Mgumba nn unataka kuficha aibu yako,inaelekea unapata tabu sana unapomuona mja mzito pole kaka ila kama hiyo mimba anatakuwanayo dada yako au mke wa baba yako nae utamzimia?chunga maandiko yako yanaweza kukuzuru
 
avatar36397_1.gif
Esperance
mPM huyo
 
kwani utamani nguvu ya mwenzako?

tafuta lako shamba nawe uonyeshe uhodari wako
 
post kama hizi ndio zinazosababisha ban....

ni za kipumbavu na kijinga
 
msimseme mjinga, wanawake wajawazito n wazuri sana, kwanza k zao zinakuwa na joto extra tofauti na akiwa si mjaz...pia, pia utakuwa unamsaidia kutengeneza njia, si unajua tena....
 
jamani msilaumu, anaweza akawa ni hanisi, anataka kuficha aibu. Mjinga endelea kusaka, utapata mimba iliyotelekezwa.
 
Acheni kumponda watu wa aina hii ni vyema kuwaencourage maana wanabeba mimba mlizokataa na watasaidia kupunguza rate ya abortion kwakuwa wengi wanaokataliwa mimba na waliowapa huishia kuzitoa sasa mtu kama huyu ni vyema akawezeshwa kwa kumlengesha kwa aliyekataliwa mimba!!!!big up kaka utapata thwawabu kwa wema wako be blessed!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom