Natafuta girl friend ambaye atakuta kuwa mke wa ndoa,sitanii i'm serous

Oct 26, 2012
93
22
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naishi dar-es-salaam.umefika muda muafaka wa mimi kuwa na mtu wa kutengeneza naye future yetu,lakini awe na sifa zifuatazo

  1. awe na umri kati ya miaka 18-20
  2. good physical appearance and facial expression
  3. angalau awe amemaliza form 4 na kuendelea
  4. mkristo ambaye ni mcha mungu wa ukweli
  5. awe na mpenzi ya kweli.
 
Umri huooo
huo uchumba utadumu kwa miaka mingapi mpaka muoane??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom