Natafuta Gearbox ya gia 6 ya Fuso.

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Natafuta gearbox ya gia sita yaFuso. Iwe ile kubwa inayofungwa kwenye engine ta turbo na tandam.

Mwenye nayo please niPM.
 
mpaka umeamua kuileta humu hope umeshatafuta sana umekosa au ofa yako ya kimawazo, iyo gear box unayotafuta ni xpensive sana ebu toa ofa then unipm ntaksaidia.
 
mpaka umeamua kuileta humu hope umeshatafuta sana umekosa au ofa yako ya kimawazo, iyo gear box unayotafuta ni xpensive sana ebu toa ofa then unipm ntaksaidia.

Tatizo sio offer. Nimeleta humu kukwepa usumbufu wa tabata. Wanachangua sana spare pale. Kama unayo sema unaiuzaje na uko wapi nije kuikagua. Tuongee biashara. Habari za nikutaftie sijui nini, mi sizitaki. Najua kila kona wanazouza.
 
Natafuta gearbox ya gia sita yaFuso. Iwe ile kubwa inayofungwa kwenye engine ta turbo na tandam.

Mwenye nayo please niPM.

Mkuu usitishike na tandam, turbo, gearbox haina ukubwa wala udogo, ukipata yoyote ya fuso 6g itafanya kazi
 
Mkuu usitishike na tandam, turbo, gearbox haina ukubwa wala udogo, ukipata yoyote ya fuso 6g itafanya kazi

Shukran kwa ushauri, nilisema vile ili kwa aliyeishusha kwenye gari yake au aliyenayo anipm. Sikumaanisha kuwa ikitoka kwenye turbo ndio inakuwa na uwezo zaidi.
 
Back
Top Bottom