Natafuta Gari

kampuni reliable ni beforward, ukiagza gari unalala usingizi kwa amani, kitu lazima kitinge bongo bila kwere

mimi wameniuzia gari ina matatizo sana,ukaguzi wao ni fake.....nawasifu kwa mawasiliano,wako consistent sana na wanaupdate kwa kila kitu kinachofanyika.
 
mimi wameniuzia gari ina matatizo sana,ukaguzi wao ni fake.....nawasifu kwa mawasiliano,wako consistent sana na wanaupdate kwa kila kitu kinachofanyika.

We mkaka sijui mdada mbona wantisha? Manake nimetoka kuagizia gari kwao muda si muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom