Natafuta gari ya kununua toyota ist

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Wadau natafuta gari aina ya TOYOTA IST ya thamani isiyo zidi milioni 6. iwe kwenye hali nzuri.
 
Bajeti iko chini mkuu...ukipata gari nzuri kwa bei hiyo bahati sana.
 
Kwa pesa uliyonayo utapata Passo au Vitz. IST sahau. Pesa huna unataka gari nzuri pyuuuu...!!!
 
Tunadanganyana sana... siku hizi gari ndogo zenye kutumia mafuta kidogo ni ghali kwa kuwa watu wanazihitaji sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom