Natafuta gari used in TZ ya kununua No. B, C , Suzuki Kei, Toyota Cami, Terrios, na Toyota Vitz

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Natafuta gari la kununua gari used in TZ ya kununua No. B, C , Suzuki Kei, Toyota Cami, Terrios, na Toyota Vitz, liwe linatembea lisiwe na limbikizo la kodi , kama lina limbikizo unatakiwa nikinunua nakupeleka mwenyewe Ukariripie TRA, liwe na T000BBB, au T000 CCC mwenye nalo aweke bei hapa au ani -pm
 
Nnayo vitz #B , gari iko vizuri sana, rangi silver, km zake 100000, ac etc iko vizuri
0715591141 karibu
Bei 5mln
 
Karibu mkuu nia Suzuki grand Vitara la 2004 nyeusi AC inafanya kz haijawahipata ajali haijafunguliwa ingine.ulaji wa mafuta mzuri !!!! Lita 1 kwa km 8 cc2700
 
jini maimuna hilo

Wabongo bana! Ukiona cc kubwa tu unaishia kusema 'jini'! Mbona wanawake wenye makalio makubwa mnawasifu?

Fyi kuna raha yake kudrive cc2700 wewe, unaweza hata kufanya towing, trip ya mza-Dar una uhakika.

Lakini zaidi gari ya engine cc2700 ikiwa na km 200,000 inaweza kua sawa na gari ya cc1200 yenye km 80,000!

Na mtu tangu uanze kudrive, yani we ni tuCc 1350 tu au less hata hukui khaa! Acha auze/nunue gari bana hkn cha jini wala nini! Eti gas gazzler, kaa na hizo baby walk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom