Natafuta Gari Saloon ya injini ndogo bei isizidi 4mil

wazo la kwenda zanzibar ni zuri ila kwa tradecar sikushauri mambo yanaweza kwenda kama tofauti a ulivyopanga ikala kwako..sheria za nchi zinabadilika sana na gari ya chini ya dola 1000 ni low grade yaani almost sawa na scrap..nakushauri ongeza hela kidogo upate gari ya uhakika..
best luck..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom