natafuta gari la kununua

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
534
144
baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina yeyote iliyo kwenye hali nzuri lakini bei isizidi millioni nne(4000,000)

wandugu nimejipiga hadi nimeamua kuja hapa naamini naamini hakuna kinachokosekana wala kushindikana.

tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!
 
mkuu fanya 5.5 nikuuzie starlet 1998
 
mkuu ongea na kitomai, anayo landrover 110, kwa mil 4.5 tu!!
 
Nina ufumbuzi wa shida yako; Wasiliana nami kwa email mrbwire@yahoo.com

________________
When God Leads you to the edge of a cliff, TRUST Him fully because only one of the two things will happen. Either, He will teach you how to fly OR He will catch you when you fall...
 
Mkuu mwone Dullymo huyu kijana namwaminia si kama Kitomai ameshindwa kuniuzia kitanda changu.
 
tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!

mkuu mie naweza kukuletea gari hiyo hapo. toyota raum 1998 or 1997 model. CC1490, around km 60000 - 120,000. kwa bei ya tsha 5,000,000/=
tena uzuri unalipa kwa awamu mbili. unalipa kwanza 3,500,000 kwa ajili ya kununua. kish aunakuja kumalizia 1,500,000/ kwa ajili ya ushuru na registration.
ikizidi hapo kwa sababu ya ushuru ITAKUWA ni JUU YANGU KWA GHARAMA ZANGU.

if you are interested nitumie mail dullymo@gmail.com
au nitwangie 0713 744144
 
Attachments

  • DSCF0040_640.jpg
    DSCF0040_640.jpg
    46 KB · Views: 113
Mkuu Dullymo hivi starlet huna? Nasikia ukipata ya dizeli ndo nzuri zaidi jaribu kuitafuta hiyo.
 
pole sana kijana kwa kuibiwa gari .gari unayo taka kwa kipindi hiki ni gari ya namna gani 4wheel.saloon staion waon au ipi
 
Araway,

Siamini kama ile gari yako umeikosa hivi hivi? mbona dereva wako hujampigisha kalinye kalinye?....huruma mkuu wangu imekuponza sana!
 
Mkuu mtafute huyu jamaa mwenye hizi namba:0713260120 aliniuzia gari aina ya Honda CVR, ya 1998, sasa ni mwaka mmoja na zaidi sijapata matatizo nayo, ni mtu mwema kabisa.
 
mkuu mie naweza kukuletea gari hiyo hapo. toyota raum 1998 or 1997 model. CC1490, around km 60000 - 120,000. kwa bei ya tsha 5,000,000/=
tena uzuri unalipa kwa awamu mbili. unalipa kwanza 3,500,000 kwa ajili ya kununua. kish aunakuja kumalizia 1,500,000/ kwa ajili ya ushuru na registration.
ikizidi hapo kwa sababu ya ushuru ITAKUWA ni JUU YANGU KWA GHARAMA ZANGU.

if you are interested nitumie mail dullymo@gmail.com
au nitwangie 0713 744144

mkuu nimekupata! na nimeipenda so kama ipo ambayo ipo nchini tayari niambie tufanye biashara. nitaweza kuadjust to that amount!
 
Back
Top Bottom