Natafuta Gari la kununua

hahahaa afu ukute mwenye nyumba hana gari..anakomaje?..yaani this life is not fair..kuna nyumba moj aivi wapangaji woote wan amagari na wanayapaki apo nje mbele ya mwenye nyumba........mwenye nyumba hana gari...na analazimika kwenda kwa daladala ofisini kila siku na hataki lift ya mpangaji..........hahahaha nahisi anakaribia kugawa notis

Dawa ni kuwatwanga kodi mara 10, watahama bila kuaga.
 
Jamani mjini kuna foleni kusimama kwenye daladala shida wacha watu wanunue magari, ukijenga nyumba utapanda nyumba?

kwa hiyo wanunue magari na kuyapanga barabarani kisha walale humo humo na kwenye daladala tulale tu hakuna kusimama!
 
Nipo Dar, na napendelea zaidi anayeuza hilo gari akiwa Dar itakuwa safi sana. Nataka SUV mkuu sio dedan
OK
Ila sio vibaya ukaliangalia na hili labda utabadili mawazo na kuja kwenye sedan.
Hii cresta (attached photos) ipo katika hali nzuri pia na bei yake ni TZs 7m tu. Ipo DSM, unainunua na kuendelea kuitumia; haina tatizo lolote la kiufundi. Limetembea 99850km hadi leo tarehe 10 July 2012.
Karibu
 

Attachments

  • 1997 Cresta.doc
    577.5 KB · Views: 98
Hehehe kujenga muhimu sana wakuu maana hizi kodi zinapanda kila uchwao landlord/lady anavyojisikia na huwezi kumgomea ukishindwa unahama mm nadhani NHC haijafanya vya kutosha kuhusu masuala ya nyumba ingawa kuna jitihada zinaonekana kama leo hii kungekuwa na apartments za bei ya kawaida nadhani ingechangia kwa kiasi kikubwa kutokuwa na mfumuko wa bei kwenye kodi ya nyumba.Nyumba wanazojenga sasa hivi ni aghali mno kwa mtu wa kawaida ambaye anaanza maisha sio kazi rahisi kumudu katika hali ya kawaida
 
Kuna landcruiser prado tx 5doors,1kz engine,manul,252300km, limetengenezwa mwaka 1999. Ipo kwenye hali nzuri bei 25m

Pamoja na ma kilometers yote hayo na uzee wote huo bado unauza 25M? Na watu wnanunua, kweli bongo wajinga bado wengi.
 
Nina Rav4 milango mitano manual, niliingiza kutoka UK na sio zile zinazotoka Japan straight to Dubai/Tz. Sema uko Dar sehemu gani wikiendi nikuletee uione. Ni vizuri ukaja na fundi wako kabisa, haya mambo ya picha tu za mitandaoni yanaweza yasikupe uhalisia wa gari lenyewe. Otherwise ni-pm kwa mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom