Natafuta fundi wa IBM laptop

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Wakuu natafuta fundi wa laptop aina ya IBM inasumbua display.Anae fahamu fundi mzuri kwa Dar naombeni msaada wapi naweza mpata fundi.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Wakuu natafuta fundi wa laptop aina ya IBM inasumbua display.Anae fahamu fundi mzuri kwa Dar naombeni msaada wapi naweza mpata fundi.Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Mkuu, elezea tatizo la display yako tujue tunakusaidia vp.

1. Kama imeingia maji, sidhani kama kuna repair hapo, badilisha mpya tuu.

2. Kama haioneshi kitu, inakuwa nyeupe tuu kama mwanga wa tube-light basi nenda kwa fundi

3. Kama inakuwa black tuu ukiwasha PC, basi mwambie fundi akubadilishie ka-tube ka ndani kabisa kanakuwaga kwenye hiyo display.

4. Kama....endlessss

Weka tatizo lako hapa mkuu.
 
Mkuu, elezea tatizo la display yako tujue tunakusaidia vp.1. Kama imeingia maji, sidhani kama kuna repair hapo, badilisha mpya tuu.2. Kama haioneshi kitu, inakuwa nyeupe tuu kama mwanga wa tube-light basi nenda kwa fundi3. Kama inakuwa black tuu ukiwasha PC, basi mwambie fundi akubadilishie ka-tube ka ndani kabisa kanakuwaga kwenye hiyo display.4. Kama....endlessssWeka tatizo lako hapa mkuu.
Nashukuru mkuu, nikiwasha mashine display inabaki kuwa nyeusi wapi naweza pata fundi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom