Natafuta fundi wa chaga ya kitanda.

Halafu hii kazi ulionikabidhisha naona inataka kunishinda maana ninanasa nasa kama nini

utakua una2mia upopo wa kianalog!! tumia ule wa kidigital hautanasa.
MAPROSOO.
 
Hii siyo mwake sio powa utakataaje kutumwa na mzazi aliyekulea?

Nashangaa kijana uishie Kama kuku,
Mwingi, mwerevu mwepesi wa ku-forget,
Msiri wa kulaumu unapopikwa wali m'bichi,
Mikunjo, ndita, hasira, ngebe Na ghadhabu,
Misonyo kila dakika mtoto umekosa adabu,
Unasahau kweli hadithi kafundisha Babu?!!
Kwamba Baba na Mama ndio waliokupatia tabu,
Tabia za Kishenzi shenzi toka uswahilini umezidi,
Unasugulia viatu brash ya kuoshea vyombo,
Umetoka na Shughuli zako una Michanga Lundo,
Kulukutii ndani, mgumu kama nyundo,
Misoksi hujaivua inanuka uvundoo,
Huko ndiko kujilea ukivivuka vikwazo,
Ukiwa fedha unazo,
Hii inanikumbusha toka Alfa na Omega,
Unajifanya Msongo kumbe kila siku Unatega,
Vurugu zako za siri kua ni Mtu wa Ubinafsi,
Na ndio kitu kinachokufanya ugeuke kua Chizi,
Utuokotee makopo halafu utusafishie Jiji,
Tukiwa tunakula huyu Jamaa hata hamezi,
Sijui anakilimbilia nini? Uroho tu.
Na, panapo na watu wengi hakosi kua Adui,
Adui mfano wa Nduli kakosa tabia nzuri,
Nakuelimisha kijana ambae uko Matatani,
Huambiliki, Hushikiki mtu wa aina gani,
Na hapa ndipo panadai Sanaa isiyo Kifani,
Hiyo Mibangi tunayovutaaaa ni Stimu za Kulandumkaaa,
Kama sio fani yako kwa kweli utaumbukaaa,
Kijasho kitakushuka, telemka, chemka,
Utampunguzia nani midhambi isiyohesabika??!!
Ushakaba, Ushaiba, Ushaua,
Ubaya tu we mtu wa kufanya yasiyotakikana.
 
Kama wewe kweli unajua kuchana mistari ya huyu jamaa basi chana wimbo wa "Hilli Game" hata Verse moja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom