Natafuta Fundi Rangi Makini kwa ajili finishing ya Nyumba

Serendipity

JF-Expert Member
Jan 24, 2009
486
43
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada,
Kwa yeyote anayemfahamu fundi rangi wa kupaka rangi nyumba, naomba anipe contact zake either hapa jukwaani au ani PM.
Sifa za fundi huyo;

  1. Awe makini,mwenye utaalamu wa kisasa
  2. Awe na uwezo wakufanya kazi na kumaliza kwa muda muafaka
  3. Asiwe na tamaa
  4. Awe na gharama nafuu (reasonable price)
Thanks.
 
aisee hebu mpigie Thadei 0713422331. ni kijana mchapa kazi, fundi mzuri sana wa rangi. yeye ndo amefanya nyumba yangu ionekane iko matawi ya juu kuliko ukweli wenyewe. finishing yake ya rangi ni nzuri sana. bei zake pia sio mbaya. hana tamaa kiasi hicho. akikuuliza nani kakupa simu yake mwambie James Bwana wa Ukonga. kila la heri
 
hhahaha manumbu umenifurahisha
safi sana
 
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada,
Kwa yeyote anayemfahamu fundi rangi wa kupaka rangi nyumba, naomba anipe contact zake either hapa jukwaani au ani PM.
Sifa za fundi huyo;

  1. Awe makini,mwenye utaalamu wa kisasa
  2. Awe na uwezo wakufanya kazi na kumaliza kwa muda muafaka
  3. Asiwe na tamaa
  4. Awe na gharama nafuu (reasonable price)
Thanks.

Wasiliana na Bakari 0754498893. Anao mafundi wa kufanya kila kazi na siyo rangi tu. Mwambie umepata namba yake toka kwa jamaa mmoja wa Tegeta.
 
Kaka Fundi umempata! Utajaribu kupima kati ya Thadei na Huyu. Yeye anaitwa Ally Dilunga. Ni maarufu sana, amefanya kazi na kampuni ya Canopies International kwenye renovations ya ofc nyingi hapo dsm na mikoani kwenye Benki za NMB. Kabla hajafanya kwangu walikua Igunga-Tabora.
Namba yake ni 0713508101.
Nitakutumia PM uone alivyopendezesha yangu!:confused:
 
hahaha button ilikuwa inasikia baridi ngoja nijaribu sasa

Pole dada,

Hiyo button watu wengi ama awanaiogopa au huwa hawaioni. Hii ni mojawapo ya vitufe ninavyovipenda sana ingawa wadau huwa hawanarudishii na mimi. Hata hivyo Waafrika ni wagumu sana kutumia hili neno muhimu sana "AHSANTE".
 
Back
Top Bottom