Natafuta fundi cherehani mwenye uzoefu kushona nguo aina mbali mbali na kudarizi

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nina Fremu ambayo atakuwapo mdogo wangu fundi mwanafunzi ambaye bado hajawa mtaalamu hasa na kupata ozoefu baada ya kumaliza kusoma
NATAFUTA FUNDI MWENYE UZOEFU ILI TUPATANE AKAE KWENYE FREMU YANGU KWA KUFANYA KAZI NA KUMPA OZOEFU MDOGO WANGU
ASANTE
PIGA SIMU NO. 0713 - 68 96 65
 
Kwa maneno mengine huyo fundi mzoefu unamwajiri kwa ajili ya kufanya kazi au kumpa uzoefu huyo mdogo wako!
 
kwa maneno mengine huyo fundi mzoefu unamwajiri kwa ajili ya kufanya kazi au kumpa uzoefu huyo mdogo wako!

kwa vile fremu ya biashara au chumba au ofisi ya kufanyia kazi itakuwa yangu mimi sitamlipa badala yake kile atakachokuwa anapata mimi na yeye tunagawana
nadhani nimeeleweka sasa
chumba cha biashara hatalipa kodi yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom