Natafuta friends wa kujiunga na group langu la watsap!

Donjama

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
215
93
Habari wanajukwaa,

Natafuta marafiki popote walio serious sana kuanzia miaka 25 ,ambao wana busara na hekima ya kutatua matatizo mbalimbali ya kimaisha. Please kwa walio serious tu, kama unaona haikufai basi acha. Nahitaji kuanzisha group langu la watsap kwa halo badae Kama members watapatikana group litakua na malengo mbalimbali ya kujenga ya kimaisha ambayo tutasaidiana kwa karibu kama ndugu, jamaa na marafiki.

Nimeona nianzishe hii kitu kwa sababu naona groups nyingi watu wanacreate kwa vitu ambavyo si vya muhimu sana wala si vya kujenga so nitaanza na idadi ya watu 25 mpaka 30 wa mwanzoni, watakaotuma namba zao then tutashauriana na members kama tutaweza kuexpand group. Natanguliza shukrani zangu za dhati, karibuni tujenge mawazo safii.

Mnaweza kunipm namba zenu au kama pm itakua tatzo nitawatumia namba ambayo mtatuma namba zenu. Mnahikikishiwa usalama wa namba zenu, Lengo ni kufurahi pamoja kusherehekea pamoja na kua pamoja katika masuala muhimu ya maisha kwa walio serious tu lakini.

Asanteni
 
Namba ni 0756 462255.
Its not a Watsap namba..ila no kwa ajili ya kutuma namba yako tu ili nikuunge kwa group.
 
MUNGU AKAKUPE UWEZO NA AKII YA KUTIMIZA LENGO LAKO ILI KATIKA WEWE JINA LAKE LIKAHIMIDIWE.
Amen
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom