Natafuta **** friend. awe Demu mzuri na mwenye umri kuanzia 26-30

WHAT are da measures of uzuri?
unatumia parameter zipi au who is ur benchmark (mfano awe kama Maimuwa wa Mtoni au Jack wa Arusha fire) illi nijipimie.
 
Silver25 jamani muwe mnasoma na nyie thread kama hizi zikitupiwa hapa.. mnaambiwa kila siki hii ni issue ya Love connect...
 
mzuri kwa mantiki ipi?
demu kwa maana gani?
magumashi kivipi?

mix with yours
 
Hehehehe Magumashi ni mizinguo, kwa lugha nyepesi ni kuleta vitu visivyo eleweka na tofauti na lengo la kitu husika,
Demu mzuri kwa maana mrembo mwenye umbo zuri asiye na maradhi na kadhalika wakadha
Demu nafikiri we unafahamu namaanisha ila umeamua tu kuuliza.
 
Wice mbona huja ni inbox nasubiri inbox yako now zimefika 20, lakini zenye picha ni nne tu sasa Recruitment inakaribia kuanza.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom