Natafuta fremu ya kufungua hardware bagamoyo road

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.
 
Weka namba ya simu kaka ili tukutwangie baadae.
 
Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.
Kuna frem za bei tofauti hapa, we sijui una uwezo na ipi. Kuna za kuanzia alf 30, 50, 80, 100000, 150000 hadi laki 2. Sema unataka ipi, 0786 046484
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom