Maeneo gani wewe uko interested nayo??? si kila sehemu utafanya Biashara ya Spea kaka ....................Kitunda, Geza ulole, Kwa Mfuga Mbwa ziko fremu za kutosha .......space kubwa, parking inakuwepo kwa nje, kodi ya mwezi ndogo ....Lakini je, Biashara ya Spea inafanyika?
jaribu na kimara unajua wengi wanakimbilia uko sasa wewe unakuwa na yako mpya kaka unapunguza zile safari za watu wa kimara ubungo mbezi na nk ni muhimu kuwa na target marketing hongera sana mungu akupe ufunuo zaidi ndugu yangu...napenda mtu mjasiriamali
usibweteke na huo mshahara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.