Natafuta Fremu Kiruvya

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Natumai Wana JF Wote mu Wazima Wa afya:


Natafuta Fremu Kwa Ajili Ya Biashara Kiruvya, Fremu iwe na sifa zifuatazo:
  1. Iwe Sehemu ya wazi barabarani ( Sehemu ambayo ni Visible)
  2. Iwe sehemu nzuri yenye kufikika na gari kubwa kama vile lori ( Yaani parking ya kutosha mbele ya fremu)
  3. Chumba kiwe na nafasi ya kutosha kwa nje
  4. Chumba kiwe kikubwa sq. metre
  5. Chumba kiwe na umeme wa Kujitegemea (Optional)
  6. Kuwe na Huduma za maji
  7. Chumba kiwe na Geti la nje imara
  8. Eneo liwe linapita watu wengi ( Busy area)
Budget yangu ni Tshs. 30,000 - 50,000 kwa mwezi (inategemeana na fremu)

Kama unayo sehemu au unamfahamu mtu anaeweza kunisaidia kwa hili tafadhali tuwasiliane kwa namba 068222333, au tumia develo45@gmail.com
 
Unatafuta Kiruvya ama hapa JF! Bandika matangazo huko, JF ina sura ya kimataifa zaidi
 
....ebu cheki na mtalaam FIDEL08 ...! atakuunganishia fasta! hapo juu baba mchungaji anahangover za upako.......!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom