Natafuta field!!!!!!

Mkuu wadau wanakuja nadhani kwakuwa umeweka na namba utasaidiwa. Tuko pamoja pia usikate tamaa mpaka unaingizwa kaburi,hapo unajua maisha ya hapa yamekwisha.
 
Nashukuru, ila NMB nimeisha peleka tangu zamani ila sijapigiwa simu mpaka sasa. Kwa yeyote anaependa kuwasiliana nami, phone no ni (0719058458)

we vipi,yan fild unasubiri mpaka upigiwe simu na wkt we ndo unashida?inabidi uwe unaenda we mwenyewe kuulizia maendeleo yake kama utapata/utakosa mkuu.
 
Sio anasubiri apigiwe simu...Kama kashapeleka maombi yenye contact zake unataka afanyeje sasa,,Kwenda kwenda kila siku kutasaidia nini kama nafasi hizo za field wameshaandaliwa wengine
 
Wakati mwingine kuwa persistent kunasaidia! Ni muhimu kuulizia when can I come back to check with u. Nakuahidi, sasa hivi hour wa nmb wala hamkumbuki huyu! Saa zingine unampa mtu field to get him off your tired back!
Sio anasubiri apigiwe simu...Kama kashapeleka maombi yenye contact zake unataka afanyeje sasa,,Kwenda kwenda kila siku kutasaidia nini kama nafasi hizo za field wameshaandaliwa wengine
 
Saa zingine unafaa kuitwa kaka mkubwa. Nitakugongea reputation baadae. Be good.
we vipi,yan fild unasubiri mpaka upigiwe simu na wkt we ndo unashida?inabidi uwe unaenda we mwenyewe kuulizia maendeleo yake kama utapata/utakosa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom