Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,144
- 875
Ina maana roommate wako ni jinsia tofauti?
Sasa huyo ni roommate au mkeo?
It's more of a flatmate mkuu...ila tumezoea kuitana hivyo.
Ina maana roommate wako ni jinsia tofauti?
Sasa huyo ni roommate au mkeo?
are you game? Inatakiwa tuwe idadi ya watu 10. Ili kuwe na gender balance itatikiwa kua 5/5
usafiri tayari upo. Hakikisha una pesa sio chini ya 1 M. uwe athletic na ready
to do crazy things. Hio safari itafanyika ndani ya siku 4. madawa ya kulevya hayaruhusiwi labda bangi tu!
Hio safari itahusisha urefu kiasi na maeneo ya asili. hizo sehemu zina vi lodge vya kumpuzikia
na viukumbi vya kupumzikia kama wahitaji. Starehe nyingi zitafanywa zaidi zikitegemea creativity.
maeneo hayatatajwa kuepusha maombi mengi wale tutaoenda ndio tutajua. Usiwe boring tafadhali.
simu zenye uwezo wa internate hazitaruhusiwa za vitochi tu sababu safari imelenga mapumziko.
hadi ya jf. mambo mengine muhimu tutajadili team husika ikikutana.
Eneo za asili? where about?
Miss you too Kabymiss you sweetheart
I know sweety, miss you too. Nimeona yule mtu wetu kamuboa, tema hapa nimchape.miss you sweetheart
Wewe ndio Sweetheart wake? mbona wavamia ugenini???Miss you too Kaby
Haaa sasa mbona wife huwa ananiita Sweetheart km sio mimi?I know sweety, miss you too. Nimeona yule mtu wetu kamuboa, tema hapa nimchape.
Wewe ndio Sweetheart wake? mbona wavamia ugenini???
Kwa hiyo watu wakiitana tu sweetheart you assume it's you? hii kali!Haaa sasa mbona wife huwa ananiita Sweetheart km sio mimi?
Ngoja ntamuuliza km sio mimi ntakuja ku-UNDO
Hahahaaaaaa ila sio kila wakati....km mwanaume ndo anaita siwezi shituka maana hao ntakuwa wrong kabsaaKwa hiyo watu wakiitana tu sweetheart you assume it's you? hii kali!
Haya bwana, nimekuelewa. But when Kabakabana quotes me and says "Sweetheart" I think it's pretty obvious that she means ME and not YOU... lolHahahaaaaaa ila sio kila wakati....km mwanaume ndo anaita siwezi shituka maana hao ntakuwa wrong kabsaa
Dah nawewe mchoyo....Lol....Haya bwana, nimekuelewa. But when Kabakabana quotes me and says "Sweetheart" I think it's pretty obvious that she means ME and not YOU... lol
Mkuu nipo tayari na hela ipo . Niambie ni nini una plan kwa pm . Nimependa hiyo gender balance inalekea kutakuwa na mambo mazuri.
I know sweety, miss you too. Nimeona yule mtu wetu kamuboa, tema hapa nimchape.
Wewe ndio Sweetheart wake? mbona wavamia ugenini???
Changa!vp mbona hakuna utaratibu unaeoendelea ? au ilikuwa changa la macho ?
Isje ikawa mleta sredi ashaondoka na mtaji wetu? Jibaba nimeuza mpaka body spray kukichangavp mbona hakuna utaratibu unaeoendelea ? au ilikuwa changa la macho ?