natafuta desktop yenye specification hizo hapo chini...interested seller PM me tafadhali

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Pentium 4,
Hard disk more than 60gb
Ram 2gb
Speed processor 2 Ghz
pamoja na flat screen,
 
Upo mkoa gani?mimi nipo tabora niyayo mashine kali.lete laki 4.
Dell pentium 4.HDD 120.DVD COMBO .RAM 512.processor 3.0 kioo ni nch 17
 
offer yalo kiasi gani watu tuingie kazini ..nikiridhia offer unaipata ndani ya dk chache ..
 
Kama uko Dar fika mtaa wa kongo na uhuru maduka ya wasomali utapata dell studio 9100 lakini utoboke mfuko 1.3mgarantee ni mwaka mmoja. naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom