Natafuta dawa ya udomo zege!

Hivi siku hizi bado mnatongoza!? Jenga nae mazoea, mtanie tanie baadae akili kichwani kwako.
 
Tafute mtume akutongozee sikt hz bila kitu hupati kitu na hela ndo kitu chenyewe ukitumia vzr utafanyikiwa kwa huyo demu
 
dah,mkuu ndipo moyo wangu ulipotuwama..Sina jinsi labda itokee substitute ghafla

uliona wapi mbayuwayu akatua mtini wewee,hyo kazi sio level yako embu rudi daraja ligi zako za mchangani,usituumize vichwa...mara oooh unauzoefu..wap sasa na hapo kushney.
 
ila hata siku moja usijisumu ukatongoza kwa simu coz utakuna na majibu mwenyewe utakataka na kuizima hiyo simu yako
 
Kama sio level yako,ukimwambia unampenda live,UMEUMIA!
Muonyeshe vitendo,halafu punguza kuwa serious sana.
Ukijifanya huna shida naye sana ndio waweza mpata kirahisi.
 
Tafuta Mti au Nguzo ya Umeme barabarani halafu assume ndio huyo demu
Piga saundi za kufa mtu huo mti, huku ukijaribu kujenga hoja mbalimbali za kuhalalisha hizo saundi.
Unaweza ukawa unabadili sauti kuigizia ya huyo demu ukijijibu hoja zako mwenyewe but usitumie strong point sana unapojijibu kwani unaweza kujikatisha tamaa.
Fanya hivi hata kwa siku tatu mfululizo kama dozi, yaani asubuhi, mchana na jioni.

Angalizo;
Fanya zoezi hili ukiwa mwenyewe ili wapita njia wasije kudhani umedata!!
 
Tafuta namba yake ya cm, mtwange li meseji zen uangalie respons yake , changa na zako
 
Kunywa supu ya pweza utapata swaga za kumpa ukizingatia joto la mwili wako litakuwa limeongezeka.
 
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!

Nunua msokoto mmoja wa bangi,kabla hujavuta tia nia yako huku ukilitaja jina lake!!
 
Mbona simpo.,tafuta kuwadi tu lakini angalia asije akakuzidi ujuzi halafu yeye ndio akabeba mzigo
 
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!

niPM namba yake nikusaidie....
 
the same happens to me. Kuna binti yupo so close to me as open friend and i need her to be my lover but the difficult is how i can start to say.!!

Kumbe mpo wengi... kazi kweli kweli...unashindwaje sasa? mbona mimi sielewi? Mwanamke kukushinda kumpiga sound? Hainiingii akilini hata kidogo.
Sikia, fanya hivi,
"Sikia baby..... mara ngyingi tumekuwa tukiongea utani na umekuwa mtu wa karibu sana na mimi, kuna kitu nataka kukushirikisha, nafikiri kitakuwa na manufaa kwangu na kwako pia". atakuuliza "Kitu gani?" Mwambie...
"I have the feeling of love up on you. And I have tried to hide them for so long, but it has reached a time when I can not hide them any more." Msikilizie. kama kweli anakuheshimu na anakuamini, hawezi kukujibu haraka haraka. Kama atakuwa ameinama au anang'ata kucha, mpe hii...
"Sikia....., we have been together for so long, and I have seen so many things which we can do together. In short, our dreams in life can come true if we engage in a trustful and real love. How do you find it?" Anaweza kuwa bado anafikiria zaidi. Jaribu hii kwanza, kama atakalo kujibu utashindwa kuendelea, pls ni-inform as soon as possible I will tell You how to progress. Na kama the whole method will not work, inform me so that I can give you another tactic.
 
...Ni kweli ila yule uliyempenda sana mbaya zaidi unamheshimu sana naye anajiheshimu sana..Zile swaga za madem wa kawaida unaziona ni za kizembe vibaya.

Sometimes mwanamke mkizoeana naye sana, kumtongoza moja au mawili kati ya haya yanaweza kutokea.
1. unaweza ukadhalilika kama atakutosa.
2. Urafiki wenu unaweza kuisha kabisa kama hatokuelewa kutokana na heshima iliyokuwapo baina yenu.
Mara nyingi kwa mwanamke ambaye umezoeana naye sana, jaribu kutumia mazingira na vitendo zaidi kuliko maneno. Unaweza kukuta na yeye akawa anapenda sana aambiwe, lakini anashindwa kuanzisha. Tumia mazingira na vitendo, its too simple
 
Back
Top Bottom