Natafuta dawa ya udomo zege!

Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!

yale yaleee ya fb.
 
duh . . . .
Mfuate umwambie
'wewe ni mke wangu'

kuna mmoja alitumia mbinu hii
ila alikuwa na nia ya kuoa kikweli
sasa hivi wameoana
alikuwa anakosa maneno kabisa
 
duh . . . .
Mfuate umwambie
'wewe ni mke wangu'
kuna mmoja alitumia mbinu hii
ila alikuwa na nia ya kuoa kikweli
sasa hivi wameoana
alikuwa anakosa maneno kabisa
Dah! hapo umenipa kaujanja,hebu ni-instore hii.
 
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!
Ukikuwa utaacha..! Ila angalia ..!
 
usimtongoze kwanza fanya mpango wa kumkiss then love itafuata baaadaye siyo madem wote inafaa kuwatongoza kwanza ndio wawe wapenzi wako wengine mazingira tu yanadescribe
 
usimtongoze kwanza fanya mpango wa kumkiss then love itafuata baaadaye siyo madem wote inafaa kuwatongoza kwanza ndio wawe wapenzi wako wengine mazingira tu yanadescribe
yes,second tactic
 
Pata shots tatu za Vodka, hata nyimbo utamuimbia...ile ya Boys 2 Men
 
Back
Top Bottom