Natafuta dada wakuchati kabla ya kulala

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Si kawaida yangu... ila upweke unanifanya nikuombe wewe dada utakayependezwa kuchati nami basi unikubalie tuuu...

Nakusubiri.....ila si mambo ya tendo...Dini yangu hairuhusu tendo mpaka kifo

Aksantee
 
naam dada, atanipa usingizi n we can talk thing of different advices n backgrounds
 
Si kawaida yangu... ila upweke unanifanya nikuombe wewe dada utakayependezwa kuchati nami basi unikubalie tuuu...

Nakusubiri.....ila si mambo ya tendo...Dini yangu hairuhusu tendo mpaka kifo

Aksantee
Janja ya nyani..... kula hindi bichi, mpo???????
 
hiyo ni dalili ya UMALAYA.mbona hata sisi wanaume tunamawazo mazuri tu ta kubadilishana..hau unataka mbadilishane mengine Brother.
 
Dini gani hiyo....pili nitumie voucher na contact zako kazi itaanza usiku wa leo
 
Hahahaa dini hairuhusu tendo ila inaruhusu kuchat na dada only sio kaka,hiyo dini nimeipenda!
 
Back
Top Bottom