Natafuta contacts za TATEDO

Kiwi

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
1,054
990
Heshima zenu wakuu!

Ninahitaji kuwasiliana na NGO moja inaitwa TATEDO (Tanzanian Traditional Energy Development and Environment Organisation). Nimecheki website yao kuna namba za simu tu (landline) ambazo hazipatikani. Pia kuna namba moja ya mobile lakini nayo kila nikipiga haipatikani. Sikuweza kupata email yao wala jinsi nyingine yoyote ya kuwasiliana nao. Naomba kama kuna anayefahamu anwani yao ya email au hata namba nyingine ili niweze kuwasiliana nao. Nina shida ya haraka kiasi ningependa kuwasiliana nao katika kipindi cha wiki moja.

Nashukuru kwa msaada wenu!
 
Ok kama upo jijini Dar washkaji ofisi zao zipo mpakani mwa sinza na kijitonyama, niijue shida yako kwanza ili niweze kukupa namba yangu usije kunisumbua bure.
 
Ok kama upo jijini Dar washkaji ofisi zao zipo mpakani mwa sinza na kijitonyama, niijue shida yako kwanza ili niweze kukupa namba yangu usije kunisumbua bure.

Nashukuru kwa msaada wako. Bahati mbaya siko Dar Es Salaam. Bahati nzuri au mbaya sina nia ya kukusumbua wala kukupotezea muda wako. Mimi ni research fellow na ninahitaji takwimu muhimu sana kwa haraka. Kama hutaki kuiweka namba yako hadharani pia nitakuelewa, na kukushukuru kwa hapo ulipofikia katika kunisaidia. Ila kama utajisikia kunipatia namba yako ya simu unaweza kunitumia ujumbe binafsi kupitia JF. Naomba ujisikie huru na samahani kwa usumbufu.
 
TaTEDO P.O.Box 32794, Kijitonyama
Mpakani A (Kitalu), Plot No KJM/MPA/98 near Institute of Social Work.
Kijitonyama
Tanzania

energy@tatedo.org This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
+255-22-2700771/2700438
+255-22-2774400
http://www.tatedo.org
 
Back
Top Bottom