Natafuta chumba cha ofisi

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Ndugu wanajamii, salaam.
Kwa mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba kwa ajili ya ofisi namkaribisha.
Nahitaji chumba cha ofisi kwa ajili ya kijikampuni changu.
Mahali-Dar es salaam
Eneo-kuanzia mwenge-mikocheni-ubungo mpaka city centre
Chumba kinaweza kuwa ghorofani ila isizidi ghorfa ya 3
Ukubwa wa chumba-sqm 10-20
Angalizo-Siyo majengo ya aina ya PPF tower au Benjamini Mkapa tower-siyawezi hayo.
Shukrani
 
Ungeweka bei viwango vya kodi ambavyo unaviweza; kusema majengo ya naninani towers 2 huyawezi haitoshi kumpa "dalali" picha kamili ya uwezo wako!
 
Kipo mwenge 150,000Tshs umeme unajilipia,hakina choo,metre kama 50 kutoka Ubungo bus stop.
Toa kiwango chako cha juu kabisa watu waingie kazini.
RE
 
Kipo mwenge 150,000Tshs umeme unajilipia,hakina choo,metre kama 50 kutoka Ubungo bus stop.
Toa kiwango chako cha juu kabisa watu waingie kazini.
RE
sawa mkuu, sehemu gani au jengo gani isije kuwa kwenye residential building
 
Ungeweka bei viwango vya kodi ambavyo unaviweza; kusema majengo ya naninani towers 2 huyawezi haitoshi kumpa "dalali" picha kamili ya uwezo wako!
toa kiwango kama una chumba mkuu, mimi ni 10000 pm per sqm
 
Back
Top Bottom