Natafuta chumba cha kupanga

TMAN8

Senior Member
May 25, 2012
165
41
Kiwe maeneo ya k'nyama, Sinza, Namanga, maduka mawili - Chang'ombe au Kinondoni. Ikiwa chumba na sebule itakua poa zaidi, na kikiwa kama master bedroom itakuwa safi zaidi. Nipeni msaada kwa 0774717033
 
bajeti yangu ni 50 - 70, ila inategemeana kama mazingira yanavutia zaidi si mbaya ikizidi kidogo zaidi ya hapo, sihitaji kukaa na mwenye nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom