Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Arusha

joseeY

Senior Member
Nov 4, 2010
108
17
kuna jamaa yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Sanawari, Mianzini, Sakina na maeneo ambayo yapo karibu ya Arusha Technical college. Chumba hicho kiwe self contained. Kwa yeyote mwenye ufahamu mahali ambapo kuna chumba chenye sifa kama hizi tafadhali asisite kunijulisha.
 
Back
Top Bottom