Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Arusha

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
kuna rafiki yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Ngarenaro, Kaloleni, ILBORU na maeneo ambayo yapo mjini. Chumba hicho kiwe self contained. Kwa yeyote mwenye ufahamu mahali ambapo kuna chumba chenye sifa kama hizi tafadhali asisite kunijulisha.
 
Kuna kaself kama unayotaka sehemu ya Ngulelo pale stendi ya hiace na siyo mbali na barabara kuu ya Arusha Moshi ni kama mita 100 tu..

Ina geti zuri
Ina maji salama ya kunywa.
Ina simtank ya lita 1000,
Ina umeme.
Ina paking ya gari

Je? Mtaa hiyo itamfaa?

Kama poa,Karibu PM!
 
Hiyo nyumba sifa zake nimezipenda ila tatizo iko mbali kidogo
 
Mkubwa! Mbona kimya?

Ama umepotea jukwaa nini?

Mkuu nadhani njia rahisi kama hivi siajabu jamaa alikuwa hajui kama umejibu so hapo inabidi labda unge like topic yake then angeona alert fulani, mara nyingi mimi ndio nafanya hivyo
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo
 
Mkuu toa na dau lake coz nyumba Arusha c mchezo...mtafute mwenye hii no atakusaidia (dalali) 0755375839
 
Hiyo nyumba sifa zake nimezipenda ila tatizo iko mbali kidogo

Mkuu Ngulelo mbali na wapi kaka
mjini au wapi
ngulelo kuna usafiri wa kila aina na muda wowo-te mpaka mjini na kama ni barabarani huna wasi wasi na usalama
yaani unataka ukae uswahilini mjini kati upambane na vibaka na kila siku
 
Unajua taizo huyo mtu hataki sehemu ambayo itambidi awe anapanda daladala wakati anakwenda ofisini au kwenye shughuli zake anapenda kutembea kwa miguu kwa ajili ya mazoezi sasa ngulelo ni mbali sanambapo itambidi apate usafiri
 
Nenda mitaa ya hapo Unga limited Sokon One post kbs na lile Kanisa la Kinjili Kilutheri ya Salei kuna mshikaji ana vigetho pale na bei ni maelewano.

Kama vipi niPM nikuunganishe nayo chap!
Hapa ni A town,nyumba ni almasi!
 
mimi ninayo nyumba self bei ni laki na bei haipungui maji yalikuwepo lakin yakakatika nyumba iko sakina white rose piga 0763651341
 
Back
Top Bottom