Natafuta chumba cha biashara songea mjin nisaidien wana jf

wanakam

New Member
Oct 7, 2010
4
0
Nataka kufungua biashara songea mjin jamani nisaidien kutafuta kama unayo namba ya dalali pia nimeona bora nijiari nndugu zanguni naomba mnisaidie tafadhali sana
 
Nataka kufungua biashara songea mjin jamani nisaidien kutafuta kama unayo namba ya dalali pia nimeona bora nijiari nndugu zanguni naomba mnisaidie tafadhali sana

Biashara gan, maeneo gan, chumba ukubwa gan, bajeti yako ngapi???
Kuna bwana mdogo yuko hapo anaweza kukupa mwelekeo angalau.
wakati mwingine najisahau kufunguafungua, PM.
 
cha kawaida inategemea bei inategemea na maeneo ila nipo safi pia jf sio madalali nimeomba msaada jaman nisaidie tafadhali
 
JF ni forum ya kujadili mambo ya msingi,ikiwemo kutoa mchango wa mawazo ili kufanikisha malengo ya members.so mdau hapo juu jf siyo kijiwe cha madalali ni sehemu ya kushare information na kupata solutions za mahitaji ya memberss.

mimi binafsi nimefaidikia sana kwa kuwa member wa JF ,nimepata ushauri wa kitibabu na pia ktk kuboresha vyanzo vyangu vya mapato.
-----------------
mdau ungependa upate chumba sehemu gani in songea,mimi nina rafiki yangu amehamia songea kufanya biashara and amefanikiwa,naweza kukupa namba yake ya simu akusaidie- pia kuna member humu anaitwa mama david (nadhani) yeye yupo songea na ni mjasiriamali anaweza kukupa msaada
 
Kuna eneo linaitwa Ruhuwiko, kuna chuo pale cha St. Joseph, nimekuwepo pale kwa mda, kuna fursa nyingi za kufanya biashara coz wanafunzi ni wengi sana..Nionavyo ni kwamba watu hawajashtuka kama eneo hilo linalipa sana..mfano: kuna stationary moja, migahawa miwili tu, hazikidhi mahitaji ya wanafunzi.
Nakushauri ukasurvey pale then decide cha kufanya na huo mtaji wako!

Nataka kufungua biashara songea mjin jamani nisaidien kutafuta kama unayo namba ya dalali pia nimeona bora nijiari nndugu zanguni naomba mnisaidie tafadhali sana
 
thanks nitafanyia uchunguzi,pia nashukuru kwa kuelimisha nilikosa aman kwa kweli.naomba unipe namba yake yangu 0653010810
 
Back
Top Bottom