natafuta cd za games ps2 au xbox toleo la mwanzo kabla 360

Mkazuzu

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
449
554
nina kibanda changu nazugia,kwa mwenye cd format za pal zisiwe ntsc,nitafute.kama fifa,pes car racing au za mission itakuwa poa. pia kama una games za pc.bei isiwe kubwa.0718141621
 
Back
Top Bottom