natafuta bwana

awe gud on bed we mwenyewe unaweza au ndy gogo mpaka lizungushwe lenyewe haliendi, anyhow nione tufikie mwafaka.
 
Hee! Mi sina hela but on bed am real fantastic najiamin kinoma ni balaa! kama upo tayari nichek tuongee!
 
Natafuta Bwana? Lazima uwe na hela? Nadani sharti lingekuwa mapenzi ya kweli na uaminifu. Mahela ni matokeo. Akiwa na hela leo, kesho akikosa si utamtosa! Serikali pia huwa inaishiwa. We bweteka tu, mi' natumbua macho tu.
 
Nivute kwako mama,kila sifa uliyoitaka kwangu mwake,nasubiri uniPM tu tumalize mchezo maandalizi ya kadi za mialiko kwa wanaJF yafuate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom