Natafuta Business partner-biashara ya vipodozi na nguo za watoto.

AridityIndex

Senior Member
Mar 22, 2011
149
38
Helo,

Ndugu wapendwa kama nilivyoeleza hapo juu, mimi ni mfanyabiashara wa vipodozi, vifaa vya kufanyia usafi majumbani, na Nguo za watoto from 0 - 12 years old. Kwa sasa nahitaji mshirika wa biashara atakayeniletea bidhaa hizi angalau mara moja kwa kila kipindi cha miezi 2 au mara moja kila mwezi.
  1. Nguo kutoka Malaysia, Thailand, Singapore na Indonesia ni bora zaidi.
  2. Vipodozi ni vingi lakini vikiwemo, vya Dove, Nivea, Gadner, perfumes, orodha ipo tayari kwa atakayekuwa interested.
  3. Ambaye yuko interested anaweza kuni PM kwa mawasiliano zaidi.
  4. Duka lipo Mtwara mjini.
  5. Frame ya biashara ni ya kwangu na duka lipo katika potential area.
Karibuni kwa wale ambao wanauwezo wa kusafiri nje ya nchi lakini hawana maduka au wana maduka makubwa hii ni fursa kwao na kwangu pia.
Unaweza kunitumia sms ya kuonyesha interest kwenye simu yangu ya mkononi. +32 488 152 485. au E-mail; cleandirectcosmetics@gmail.com
 
My sister in law is based in Arusha doing similar business, I can get both of you guys connected to discuss further
 
Mkuu, kwa mzunguko wa pesa Mtwara kwa mwezi unaweza kuuza zaidi ya 10 Milioni Kwenye vipodozi!
kwa nini usije Dar, Kariakoo ufungue ofisi kazi utafanya sababu Dar, utapata wateja wa jumla
 
Ahsante Chatu Dume ni ushauri mzuri nitakuja kufanya business Survey hapo Kariakoo. Kama naweza nikapata frame next year.
 
ok sound good. Sijajua unataka partiner au mtu wa kukuuzia bidhaa zako?

C.D nimeku-Pm kukupa details nahitaji partner yaani yeye atakuwa ananiletea mzigo aidha kutoka kwenye store yake au pengine kutoka nje ya nchi. Duka liko Mtwara na anatakiwa atleast awe na capacity hiyo hapo juu yaani 10M
 
Habarini guys! Mimi nipo Tanga jamani, nina kapesa kangu kadogo kama milioni tatu nimejaribu kuumiza kichwa in how to generate it lakini sijapata jibu.. Kwa mzoefu wa biashara na mtu ambae amefanya research vzuri please advice me what can I do with that little amount to generate it?

My mail is: sonelly@hotmail.com
God bless all
.
 
Why don't you post your own topic ? Ok let's continue !!
 
Helo,

Ndugu wapendwa kama nilivyoeleza hapo juu, mimi ni mfanyabiashara wa vipodozi, vifaa vya kufanyia usafi majumbani, na Nguo za watoto from 0 - 12 years old. Kwa sasa nahitaji mshirika wa biashara atakayeniletea bidhaa hizi angalau mara moja kwa kila kipindi cha miezi 2 au mara moja kila mwezi.
  1. Nguo kutoka Malaysia, Thailand, Singapore na Indonesia ni bora zaidi.
  2. Vipodozi ni vingi lakini vikiwemo, vya Dove, Nivea, Gadner, perfumes, orodha ipo tayari kwa atakayekuwa interested.
  3. Ambaye yuko interested anaweza kuni PM kwa mawasiliano zaidi.
  4. Duka lipo Mtwara mjini.
  5. Frame ya biashara ni ya kwangu na duka lipo katika potential area.
Karibuni kwa wale ambao wanauwezo wa kusafiri nje ya nchi lakini hawana maduka au wana maduka makubwa hii ni fursa kwao na kwangu pia.
Unaweza kunitumia sms ya kuonyesha interest kwenye simu yangu ya mkononi. +32 488 152 485. au E-mail; cleandirectcosmetics@gmail.com

Nadhani AridityIndex unatafuta Supplier on credit terms , sababu partner ni yule ntakaye share profit and ownership of that business, otherwise you are looking for financier.
 
Helo,

Ndugu wapendwa kama nilivyoeleza hapo juu, mimi ni mfanyabiashara wa vipodozi, vifaa vya kufanyia usafi majumbani, na Nguo za watoto from 0 - 12 years old. Kwa sasa nahitaji mshirika wa biashara atakayeniletea bidhaa hizi angalau mara moja kwa kila kipindi cha miezi 2 au mara moja kila mwezi.
  1. Nguo kutoka Malaysia, Thailand, Singapore na Indonesia ni bora zaidi.
  2. Vipodozi ni vingi lakini vikiwemo, vya Dove, Nivea, Gadner, perfumes, orodha ipo tayari kwa atakayekuwa interested.
  3. Ambaye yuko interested anaweza kuni PM kwa mawasiliano zaidi.
  4. Duka lipo Mtwara mjini.
  5. Frame ya biashara ni ya kwangu na duka lipo katika potential area.
Karibuni kwa wale ambao wanauwezo wa kusafiri nje ya nchi lakini hawana maduka au wana maduka makubwa hii ni fursa kwao na kwangu pia.
Unaweza kunitumia sms ya kuonyesha interest kwenye simu yangu ya mkononi. +32 488 152 485. au E-mail; cleandirectcosmetics@gmail.com

Hii namba ya simu ni maalumu kwa watu wa Mtwara? +32 488 152 485??????
 
+32 488 152 48 Mkuu hebu tuwekee sawa hapa kwanza, wengine tuna interest na proposition yako lakini upo mtwara ama ughaibuni bali unafanya biashara Mtwara? Mbona namba +32 ni code ya Belgium? Anyway hii topic inaonekana ni ya zamani pengine umeshafanikiwa.
 
Back
Top Bottom