Natafuta bush za fusser unity ir 2016

Mkuu hii ndio fuser unit ya IR
thumbnail.aspx

Hizo bushing zipo upande gani au ni hizi
pressure-roller-bushing.jpg

hizo hapo juu wengine wanaziita pressure roller bushing ipo na ya mviringo yake, ni ipi Mkuu ?
 
Zile za chini kwenye lola ya chini ile nyeusi kama mpira upande wa kulia kwenye sensor ya film upande wenye nyaya nyembamba bush yake nikama hizo na upande wa kushoto ni ya round
 
Zile za chini kwenye lola ya chini ile nyeusi kama mpira upande wa kulia kwenye sensor ya film upande wenye nyaya nyembamba bush yake nikama hizo na upande wa kushoto ni ya round
mkuu nadhani nimezipata tayari jamaa yangu anazo nimeku-PM tuone ni vipi naweza nikakutumia popote ulipo
 
Back
Top Bottom