natafuta boyfriend

Usiwe na haraka, omba Mungu atakupatia wakati ukifika.
 
degree ya nini bana...hapo kwenye ufupi ndo tatizo...my opinion lakin...
 
Watu hela bwanaaaaaa sio Degreeeeeee kuna zingine hazina hata majina nathani mnaweza convert degree kuwa hela ili muweze kuspend
 
me nina umri 25,mfupi,mweuc ila co sana,umbo langu wastan..na mcha mungu,napenda kuheshimiana.

Kijana yaelekea umeingia katika uwanja huu kwa ajili ya kutafuta soko tu! ingia kwenye web za akina Sintah itakuwa lahisi sana kupata mara moja>
 
Ongeza nyama kwenye habari yako
Kama elimu yako,kazi,aina gani ya mtu unataka hahha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom