natafuta boyfriend

Watanzania wezako wamekushinda ndio utaweza kuishi na watu wa mataifa mengine? Ww unadanganya nafsi yako tu, kua na boy friend wa nje ya nchi hakuwezi kukuletea mabadiliko yeyote bila ww kubadilika kwanza! Jiangalie ww mwenyewe kitabia ukoje? Na hao uliokua nao mnaendana kitabia? Maana mwanamke akiwa mzuri tu anakua na majivuno na dharau akitegemea kua coz ni mrembo atapata mwaname yeyote anayemtaka, matokeo yake anachezewa tu na kupigwa chini kila mara.

kisha umeongea kwa hasira. mie si nimesema huko mwanzo kuwa tatizo langu ni wivu, TZ TUNAOLEWA WAWILI WAWILI WATATU NA kuendelea, mimi kushare ndo siwezi hata nikijitahidi, ntabadilikaje na wanasema wivu ni kilema, ulishaonaga kilema kikibadilika?
 
Mh! Miaka 40 ni boy? Au ulikuwa unamaanisha mpenzi wa kiume ndo anaitwa boyfriend?, Non citzen? Hebu jitahd kuzungumza kiswahili dada acha kujijengea kasumba mbaya kuwa ukiandika kiingereza chako utaonekana MSOMI(samahani lakini kama nimekukwaza)

watu wengine ni kichef chef kweli, afadhali ungekuwa mwanamke.
kijijini kwenu mnazaliwa na phd nini? mana mimi niko beginner English class na teacher wetu kasema tuwe tunajaribu kuongea na kuandika ndio kujifunza tena hata hao walimu wa walimu huwa wanakosea, hivi kwani kuonekana msomi kunasaidia nini? ndo unapata kila unachotaka au? mbona mko tu mkizurura huko barabarani? ulijuwaje kama nimekosea ikiwa hukuelewa nilichomanisha? samahani kama nimekukwaza.
 
Unataka umri zaidi ya miaka 40 then unasema ni boyfriend? We sema unatafuta MANFRIEND! Au kibabu friend! Huna lolote unataka upate shugadadi tu mshazoea kupiga mizinga vijana wako makini. We pendelea kwenda pale kwa king kikii anapopiga muziki kuna vibabu vitakuokota.

he he he heeeeeee huku kuna raha na kupunguza stress, watu wengine hawajuwi kuvaa uhusika hadi waongee vilowahusu wenyewe, kumbe wewe ndo uliokotewa huko? pole mwaya.
 
Mtu wa miaka 40 asiwe na relation na mwanamke mwingine? Hapo unataka kupata nyoka wa kibisa! Au we utakuwa kipori mpaka unaogopa competition. We jimwage kwa yeyote tu mama.

hivo ni vibweka vya ma star ndo siku hizi wamezidi.
 
Natimiza vigezo vyote ila kimoja tu, ni mmatumbi, mbongo wa hapa hapa. Mhmmm inakuwaje!
 
Mimi nina vigezo vyote. Nina uraia wa America (USA) ila nimezaliwa Tz, sasa naishi karibu SEATAC airport, WA, USA.kuanzia mwezi ujao nitahamia Spokane, WA. Tafadhali nichague mimi.
 
hii kweli kweli tuache utani.

Natafuta boyfriend upweke umenichosha , nimejitahidi ila kumbe inakuwa ngumu.
vigezo sijuwi conditions hizi hapa.

1. NON CITIZEN, from any country.
2. Above 40 umri chini ya hapo No
3. Asiwe na relation na mwanamke mwengine.
Hivi wa vigezo hivi wanapatikana humu kweli? dah! mie watanzania wenzangu wamenishinda.ngoja nione.

1.Mimi Mganda-kutoka kwa M7
2.Nina miaka 50
3.Mimi Padri nataka kuwa na wewe lakini siyo kukuoa.Je upo tayari.....
 
kwani kutafuta boyfriend ndo kukosa mvuto? sikusema sitongozwi nimesema watanzania wenzangu wamenishinda kwa matatizo mbali mbali ambayo sina uvumilivu nao. i wish ungeniona one day japo njiani tu kuthibitisha usemi wako.

Haya bana, lakini nadhani kukona ni bure au kuna gharama? Kila la kheri, wa kongo pia wanajua kiswahili jaribu na huko.
 
hii kweli kweli tuache utani.

Natafuta boyfriend upweke umenichosha , nimejitahidi ila kumbe inakuwa ngumu.
vigezo sijuwi conditions hizi hapa.

1. NON CITIZEN, from any country.
2. Above 40 umri chini ya hapo No
3. Asiwe na relation na mwanamke mwengine.
Hivi wa vigezo hivi wanapatikana humu kweli? dah! mie watanzania wenzangu wamenishinda.ngoja nione.

Bibie huzayma, ikiwa unayemtaka akatimiza vigezo vyooote ulivyotoa vipi hutajali hata kama ametoroka msitu wa gombe? anafanana na. . . . . . . au kinywa kinatoa kimteramtera? (anatukana kama lusinde)
 
hii kweli kweli tuache utani.

Natafuta boyfriend upweke umenichosha , nimejitahidi ila kumbe inakuwa ngumu.
vigezo sijuwi conditions hizi hapa.

1. NON CITIZEN, from any country.
2. Above 40 umri chini ya hapo No
3. Asiwe na relation na mwanamke mwengine.
Hivi wa vigezo hivi wanapatikana humu kweli? dah! mie watanzania wenzangu wamenishinda.ngoja nione.

Am 42 now, living in Mogadishu. Ni msomali.
Ni pm we can talk more ili tujuane zaidi. (I hope bila kupingwa nimepita)
 
mi nipo tukianza uchumba mpaka ndoa vigezo vyote vitakuwa tayari. maana naanza kujiswitch nikidhi vigezo. Siku hizi interview huwa wanatoa maswali eeeh candidate gani atafeli?.
 
Back
Top Bottom