Natafuta boyfriend mwenzenu

Nifikirie mie nina miaka 21 mwakani ndio na'graduate mzumbe accounts and finance
nitakuwa 22
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
 
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
Nipo hapa, ila niko zaidi ya 25yrs kwa miaka miwili. Ni-pm wasije wakaniwahi wengine.
 
YAN MTU ASIZIDI MIAKA 25 ALAF HAKUOE ???????:eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2: KAKOJOE UKALALE WEWE
 
Unaishi wp?Elimu yko vp?Je ni bikra o used?Daaaaah k**a ingekuwa imefungwa meter cjui ingekuwaje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom