Natafuta boyfriend mwenzenu

IHANDA

Member
Jun 28, 2012
62
15
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
 
Mmmh! Mi huwa na wasiwasi sana na Madada watafutaji wa mitandaoni... Kuna je?,why?,alitokewa na nini?.

Anyway Good Luck.
 
Du Dada unataka awe na miaka 25 na awe na Bach na awe na kazi? au ni mwanafunzi mwenzako maana km STD 1 alianza na miaka 7 basi hadi Eng ya miaka 4 atakuwa na 22 ukipewa underpro kazini kwake ni mgeni sana kimaisha, sikubishii ila tafuta na mkubwa kuongeza angalau 30 la sivyo ww utammilki
no. yako mbona ni zile zilizotolewa kwenye gazeti lililofungiwa na nimepiga haipatikani hebu fungua km sio za uwt
 
yah, mimi nimeshasoma na nimejiajiri mwenyewe. umefika wakati wangu wa kupata mwenzangu wa kuishi naye
kama umesoma elimu yako ni Chuo,A/O level maana umesema umesoma na umejiajiri hapa niko na doubt au tuseme we mkubwa
 
Du Dada unataka awe na miaka 25 na awe na Bach na awe na kazi? au ni mwanafunzi mwenzako maana km STD 1 alianza na miaka 7 basi hadi Eng ya miaka 4 atakuwa na 22 ukipewa underpro kazini kwake ni mgeni sana kimaisha, sikubishii ila tafuta na mkubwa kuongeza angalau 30 la sivyo ww utammilki
no. yako mbona ni zile zilizotolewa kwenye gazeti lililofungiwa na nimepiga haipatikani hebu fungua km sio za uwt

Mbona sioni kama kaweka namba za simu?
Au kaku'PM????
 
wee binti hujui utakalo, maana hata vigezo vyako si realistic sana.

Miaka 25 awe na kazi na bachala digirii??

Hamo!
 
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
ivi nyie kumbe mpo yan nawatafuta mbaya...ok fanya kweli ni-PM fasta,ila kabla ya hayo nina umri wa miaka 37,nimeishia darasa la tatu,kuhusu dini usihofu niko formation center!!!
 
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs

Mbona haunipm baby ihanda au mpk nianze kusubstantiate vigezo? Hahah lets not throw rice among many chickens...(hii ni ‘tafsiri sisisi‘ ya tusimwage mchele kwny kuku wengi)
 
Miaka 22 ameshaanza kupagawa mpaka anatafuta wachuchu mitandaoni.. Angalia binti weee bado mdogo utapata hao hao unaowaona huko makazini. Ukifika miaka 27 hujapata ndio uje hapa Jf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom