Natafuta Blackberry 8520 kwa 220,000/=

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Nanunua simu hiyo iwe nyeusi, charger yake na usb cable yake!
Nicheki kupitia 0655003510
 
Mtu anaulizia Simu,
We unamwambia mambo ya Tochi!!!
Angekua anataka tochi si angesema???
Mjini hapa tochi za nini??
Halafu tochi gani hiyo ya 550??

Mkuu nimetaja torch kumpa alternative ya bidhaa za blackberry
kama hujui torch basi nadhani upo dunia ya nne
kwa msaada zaidi nenda google au tazama hiyo picha utoe ujinga
official-blackberry-torch-9800-2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom