natafuta binti wa kuchat naye

Dume la Nyani

Member
Apr 14, 2011
37
8
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..
 
Sasa kama ni kuchat tu, unene na urefu vinahusika nini hapo? we ungetoa vigezo vinavyo husiana na chat, kama kuwa mwepesi kujibu or awe mpole usipo jibu haraka, asikuombe vocha etc. Umeonesha wazi kua you intend to meet her, havitaishia kwenye kuchat!
 
Nadhani anamaanisha kuwa muda fulani wanaweza kukutana nakuongea
.
 
Naona WEMA ana vigezo vyote na ukizingatia kaachika ghafla naona mtawezena
 
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..

Umeshindwa kuchat na mdogo wa mke wa kaka ako unatafuta hapa?
 
Sasa kama ni kuchat tu, unene na urefu vinahusika nini hapo? we ungetoa vigezo vinavyo husiana na chat, kama kuwa mwepesi kujibu or awe mpole usipo jibu haraka, asikuombe vocha etc. Umeonesha wazi kua you intend to meet her, havitaishia kwenye kuchat!

Ameshindwa tu kusema anatafuta binti wa kumtongoza
 
Sasa kama ni kuchat tu, unene na urefu vinahusika nini hapo? we ungetoa vigezo vinavyo husiana na chat, kama kuwa mwepesi kujibu or awe mpole usipo jibu haraka, asikuombe vocha etc. Umeonesha wazi kua you intend to meet her, havitaishia kwenye kuchat!
Lol...
 
natoa TAMKO: Kwani Facebook ina kazi Gani... Kutafuta Bint wa kuchat nae huko nako kunahitaji watu wafikiri.. mbona tunamiss-use JF.. shit!!.. Kuna majukwaa mengi ya kuchat-chat hasa kwenu wanafunzi.. sasa mbona mnavamia hadi huku? nenda FB wako wenzako wengi tu huko na sura utaziona za kuchoka mtu, but not here.. Ukiendelea Mods watakutende kama avatar yako inavyoonyesha..
 
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..

Badili jina kwanza! Halafu NO yenyewe haipatikani.
 
Yan we badala ukatafute kazi unawaza kuchati 2 na wanawake?
 
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo 2wasiliane kupita no hii 0786748452..
Kijana umemaliza chuo badala ya kutafuta kazi, unatafuta binti wa kuchat naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom