Natafuta binti wa kiarabu au msomali

Mkuu ungesema kwanza shida yako ni nini au niseme kwa nini unamtafuta binti wa kiarabu au kisomali? Bila kusema watu wengine wanaweza kuogopa.
 
Huku kwetu Tabora tupo nao sana tu uswahilini tena wamejaa mpaka vijijini!Mfano mzuri ni mbunge wetu wa tbr mjini!Funguka mkuu unawataka wa kazi gani tukusaidie kukutafutia!!
 
Wote hao vyoo vya kike,kama unataka demu mweupe chagua halfcast ndio wazuri lkn hao pure msomali na mwarabu(baba & mama) kimeo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom