Natafuta battery ya acer one d255e

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Acer yenyewe ni mpya kabisa ,tatiso niliwasha pasipo kuichaji kwa kwa muda mrefu nadhani ndio tatiso likaansia hapo.mwenye battery anijuse tumake biashara
 
Mkuu tunaweza kukuletea hiyo battery mpaka Dar es Salaam kwa bei ya $95.00. Tutakuagizia kutoka Marekani na kukuletea mpya mpaka Dar es Salaam. Ikifika utakwenda kulipia na kuchukua battery yako. Bei hii inachanganya , kila kitu, ushuru, usafiri na insurance. Tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tuzungumze biashara.
 
Back
Top Bottom