natafuta asali mbich ambayo haijachakachuliwa

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
wadau naombeni msaada asali nyingi za hapa bongo zimechakachuliwa, i am real inthe need of natural honey, tena asali mbichi, anybody who can help please PM me uniambie bei, na ntakupataje,naamini jf ndo mambo yote
 
Hakuna haja ya pm subiri mwezi wa sita nitakuletaa orijino toka mikoa yenye kilimo hai!
Natania mkuu lakini kuna ukweli ndani yake
nenda kisutu sokoni ,inasemekana eti kutokana na kabila linaloishi maeneo yale pale watu hawachakachui!
Au nenda maliasili ...lakini pia angalia usile asli inayotoka kwa walima sigara....tumbaku!
 
Na mimi ninakusaidia kwa kuhakikisha kuwa hiyo ni Asali mbichi ni ya kweli Siyo feki itabidi uiweke kwenye friji ikiwa haijaganda itakuwa ni ya kweli hiyo Asali mbichi Orignal lakini ikiganda hiyo ni Asali ni Feki iliyochakachuliwa ni hivyo Mkuu, Kupata Asali mbichi mijini ni kama kupata Almasi Sokoni tena unakuwa hiyo Almasi umeikota hapo Sokoni si rahisi nyingi za Asali zilizopo Masokoni ni feki zimechakachuliwa.
 
Mmh mimi nimenunua asali ambayo iko katika pakeji inayoridhisha na inayo mawasiliano ya msambazaji zikiwemo namba za simu na box. NIKIITAZAMA SASA INAONYESHA ROBO YA CHUPA KUANZIA CHINI IMEGANDA NA IKIPATA JOTO INAYEYUKA NA KURUDI KAWAIDA. Sasa inamaana hii asali niliyoinunua nayo itakuwa FEKI ? Na huyu msambazaji amewezaje kuhalalisha kitu feki kwa kujitangaza kibiashara.
 
Kama unakaa Dar njoo Sinza madukani ule mtaa unaenda Namnaan hotel upande wa kushoto kuna duka linauza asali origino kuanzia nyuki wadogo mpaka wakubwa asali original haitakiwi kuganda...thanks
 
ok thanks tete ntajaribu kwenda kucheki maana i real need it
 
Na mimi ninakusaidia kwa kuhakikisha kuwa hiyo ni Asali mbichi ni ya kweli Siyo feki itabidi uiweke kwenye friji ikiwa haijaganda itakuwa ni ya kweli hiyo Asali mbichi Orignal lakini ikiganda hiyo ni Asali ni Feki iliyochakachuliwa ni hivyo Mkuu, Kupata Asali mbichi mijini ni kama kupata Almasi Sokoni tena unakuwa hiyo Almasi umeikota hapo Sokoni si rahisi nyingi za Asali zilizopo Masokoni ni feki zimechakachuliwa.

asante mzizi mkavu kwa ujuzu huo ulionipa maana nilinunua asali imeganda hata haiyeyuki halafu hata ladha haina
 
Hakuna haja ya pm subiri mwezi wa sita nitakuletaa orijino toka mikoa yenye kilimo hai!
Natania mkuu lakini kuna ukweli ndani yake
nenda kisutu sokoni ,inasemekana eti kutokana na kabila linaloishi maeneo yale pale watu hawachakachui!
Au nenda maliasili ...lakini pia angalia usile asli inayotoka kwa walima sigara....tumbaku!

asante kyalosangi, ila nahitaji kwa kipindi hiki,mwezi wa sita mbali sana
 
Na mimi ninakusaidia kwa kuhakikisha kuwa hiyo ni Asali mbichi ni ya kweli Siyo feki itabidi uiweke kwenye friji ikiwa haijaganda itakuwa ni ya kweli hiyo Asali mbichi Orignal lakini ikiganda hiyo ni Asali ni Feki iliyochakachuliwa ni hivyo Mkuu, Kupata Asali mbichi mijini ni kama kupata Almasi Sokoni tena unakuwa hiyo Almasi umeikota hapo Sokoni si rahisi nyingi za Asali zilizopo Masokoni ni feki zimechakachuliwa.

Kweli mkuu.Thanks
 
wadau naombeni msaada asali nyingi za hapa bongo zimechakachuliwa, i am real inthe need of natural honey, tena asali mbichi, anybody who can help please PM me uniambie bei, na ntakupataje,naamini jf ndo mambo yote

HUKU TBR ASALI MBICHI INAPATIKANA KWA SH 6000kwa lita 1...mara ya mwisho nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana.inapatika kwa wingi sana!kama una mtu aliye ukanda huu ni pm nikuagizie!
 
sina mtu ukanda huo tizo
 
Ivi asali huwa inaharibika? ( ina muda wa kutumia?)

labda nimenunua asali leo (original) haijachakachuliwa naweza nikaitumia kwa muda gani?
 
MWENYEZH MUNGU AMEONYESHA UWEZO WA AJABU SANA KATIKA ASALI.ISIPOTIWA KITU CHOCHOTE CHA ZIADA INA KAA MUDA MREFU SANA.NINA ASALI NILINUNUA KWA MKULIMA TOKA mwezi wa 4 mwaka 2009 mpaka leo NAITUMIA BILA MATATIZO YOYOTE.UTAMU NA UBORA UPO PALEPALE.KOSA LA ASALI NI KUICHAKACHUA!NI NGUMU SANA KUPATA ORIGINAL UKIWA MIKOA ISIYO NA WAFUGAJI WA NYUKI.
 
asali kwa dar nenda mali asili, utapata unayo itaka iwe ya kigoma au tabora. mia
 
MWENYEZH MUNGU AMEONYESHA UWEZO WA AJABU SANA KATIKA ASALI.ISIPOTIWA KITU CHOCHOTE CHA ZIADA INA KAA MUDA MREFU SANA.NINA ASALI NILINUNUA KWA MKULIMA TOKA mwezi wa 4 mwaka 2009 mpaka leo NAITUMIA BILA MATATIZO YOYOTE.UTAMU NA UBORA UPO PALEPALE.KOSA LA ASALI NI KUICHAKACHUA!NI NGUMU SANA KUPATA ORIGINAL UKIWA MIKOA ISIYO NA WAFUGAJI WA NYUKI.

shukrani sana, so asali halisi haiaribiki.
 
Soma profile ya liverpoolfc kwenye visitor mesage kuna m2 kaweka no anayo bila shaka atakupatia,
 
Back
Top Bottom