Natafuta ambaye ni kama mimi

MR UNIVERSITY....HANDSOME.....!
MREMBO WA KIUME......ZE SCRUB ZE BLACK DYE... du
 
Naposema ni kama mimi namaanisha alokutwa na yalo nikuta mimi...mpenzi wangu aliniacha mwaka 1 uliopita na akaolewa. Niliumia sana nikakata tamaa ya kupenda tena...ila naona kwa sasa maumivu yametulia.....nataka binti alotulia tena ningependa atoke hapa jamii forum....mashart ni kwamba huyo binti awe amewahi kuumizwa kama mm, najua na yeye atakua anafahamu ninh broken heart....jamani niko serious. 0784847753 contact mi tukiridhiana mambo mengine yataendelea. NB: Am handsome......
Sasa kama wewe ni handsome kwa nini utemwe? Utakuwa na kasoro. Waambie kina dada kasoro zako ili wajue namna ya kukabiliana na wewe.
 
Mimi hapa nimeumizwa tayari na nilianzisha na thread kabisa teheteheteett
mmh, dinnah kuwa makini usiumizwe tena. Kupata mtu aliyeumizwa haimaanishi kuwa hatomuumiza mwingine. Binadamu ni wepesi wa kusahau na ni wachache ambao hawawafanyii wengine yale wasiyopenda wao kufanyiwa.
 
Mkuu komaa, usionyeshe unataka sympathy, ni bora huyo amekuacha mapema, mi naona huyo mdada alikuwa honest sana, tafsri yake ni kuwa aliona ham-endani akapata alichoona kinamfaa zaidi na akafanya maamuzi magumu, hata wewe ungefanya hivyo, ni hali ya kawaida sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom